Yaani eti yule Calino ni maarufu kufika Dube
ajabu sana hiiYaani eti yule Calino ni maarufu kufika Dube
Yaleyaleee 😃😀apambane afike Simba
Alizaliwa Feb.17 1997 ,Zimbabwe ,anachezea Timu ya Taifa ya Zimbabwe na Azam wamemeajili kutoka Highlanders Fc ya huko.Katoka timu gani?
Samahani mkuu, ivi Carlos Calinyos kaitwa timu ya Taifa ?!.Alizaliwa Feb.17 1997 ,Zimbabwe ,anachezea Timu ya Taifa ya Zimbabwe na Azam wamemeajili kutoka Highlanders Fc ya huko.
Ndio nani 😳 😳 🤣 😳🤣Samahani mkuu, ivi Carlos Calinyos kaitwa timu ya Taifa ?!.
Yaani eti yule Calino ni maarufu kufika Dube
Aiseee Gwaji P aliwahi kuwa Chadema!"Kama humpendi Carinhos (Lowassa), kale malimao" in Gwajima's voice!! Dah long time kitambo in 2015! Enzi hizo Gwajima yuko Chadema.
Mkuu kwani kasajiliwa lini kaonyesha uwezo lini ulitaka aanze kuimbwa lini??Msemo wa Shujaa asiyeimbwa ni MTU anayefanya vizuri kwa muda mrefu tu lakini wanasifiwa wengine.Dube wa Juzi tu hajafika hata Mechi 10.Ataimbwa tu .....by the way tumeshaanza kumuimbaKuna kitu kimoja kwenye soka la Tanzania! Soka ni Simba na Yanga!
Maamuzi, uendeshaji, uratibu, mipango nk yote inategemea /inahusu siasa za Simba na Yanga. Hii ni hatari kwa mustakabali wa Soka letu!
Chukulia mfano mdogo wa nyota wa Azam hivi sasa, Dube.
Huyu ni Striker hatari, lakini hajulikani. Tangu ligi ianze anafunga kila mechi so chochote mbele ya akina Mutombo, Mugalu, Bwalya au Morrison.
Tatizo so lingine bali ni Timu anayochezea!
Angekuwa yupo Simba au Yanga sasa hivi tungekuwa na watoto kadhaa wanaoitwa Prince Dube.
Sijui tatizo letu ni nini!
Na usiku huu katupia Mawili. Azam Mwaka huu ni Moto wa Gesi