Prince Dube: Shujaa asiyeimbwa

Prince Dube: Shujaa asiyeimbwa

Mkuu kwani kasajiliwa lini kaonyesha uwezo lini ulitaka aanze kuimbwa lini??Msemo wa Shujaa asiyeimbwa ni MTU anayefanya vizuri kwa muda mrefu tu lakini wanasifiwa wengine.Dube wa Juzi tu hajafika hata Mechi 10.Ataimbwa tu .....by the way tumeshaanza kumuimba
Hujaona kule jangwani wale ba

Congo,
Au
Mpira Sukari,The Animal wa Simba!?
 
Mkuu kwani kasajiliwa lini kaonyesha uwezo lini ulitaka aanze kuimbwa lini??Msemo wa Shujaa asiyeimbwa ni MTU anayefanya vizuri kwa muda mrefu tu lakini wanasifiwa wengine.Dube wa Juzi tu hajafika hata Mechi 10.Ataimbwa tu .....by the way tumeshaanza kumuimba
Jamaa anamaanisha inakuwaje kwa sasa CARLINHO ni Maarufu kuliko PRINCE DUBE ktk Hizo hizo Match 5...
 
Mbona Pepe kalle keshamuimba sana Dube!,au umesahau ule wimbo unaitwa "Don't cry Dube"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom