Prince Harry anapenda dark skin

Prince Harry anapenda dark skin

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Meghan asibwete kabisa.
IMG_20180521_122402.jpg
IMG_20180521_122344.jpg
IMG_20180521_122305.jpg
IMG_20180521_122200.jpg
IMG_20180521_122224.jpg
 
Ni kweli,wanajeshi wa Uingereza waliambiwa wamlinde kipind chote akiwa Afghan,Hadi walilalamika kwamba wanashindwa ku concentrate kwenye mapigano kwa ajili ya kumlinda Prince.
Sio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu and fought as other soldiers.

Thus soon baada ya kuwa located na kujulikana alipo jeshi likamtoa Afghanistan na kumrudisha kambini.
 
Sio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu.

Thus soon baada ya kuwa located na kujulikana alipo jeshi likamtoa Afghanistan na kumrudisha kambini.
Na wangejua angekuwa targeted
 
Na wangejua angekuwa targeted
Just simple as that! Kuna documentary moja BBC walifanya nae huko huko Afghanistan but katikati ya interview kikalia king'ora jamaa akatoka nduki na kuwaacha BBC akaenda akaingia kwenye jet fighter akasonga mbele.

Baada ya hapo Royal family wakaona dogo amekuwa exposed sana na pia wale terrorist wish yao terrorist ilikuwa dogo arudi UK akiwa mfu.
 
Back
Top Bottom