Prince Harry anapenda dark skin

Prince Harry anapenda dark skin

Nyie watu nimetokea kuwapenda ghafla tu...yaani nawakubali sana sababu mnanikubali pia. "If you offer love you will ultimately receives love in response" nawapenda sana.

I'm humbled to hear that! Hugs!

Wink wink!

umenifurahisha sana humble, sikuwahi kujua historia ya prince Harry,
 
Sasa hiyo picha ya pili alikuwa anaangalia nini lakini!
 
Hapa akiwa kwenye deployment front line huko Afghanistan anarusha jet fighter ya Apache tayari kwenda kuwamwagia mwaani maadui.

Namkubali sana huyu mshkaji maana ni msela, soldier, mtu wa watu, afu anawapenda waafrika na ana posses three "W" for soldiers...which stand for "women" "War" and "Whisky" he is the man...yule brother wake ni sampuli ya maingereza yale Maconcervative yenye misimamo ya kizamani ya kiingereza kwao waafrika wote ni nyani tu.
View attachment 783137View attachment 783141
Feeling jealous for Meghan kapata mwanaume wa shokaaaa jomoniii
 
Back
Top Bottom