Cjui nilishauona muvi gani vileUyo jamaaa ni nani?
Prince Harry, mjukuu wa malkia wa uingereza.
Anajishughulisha na issue gani?Upo dunia gani wewe?[HASHTAG]#kurlzawa[/HASHTAG]?Anaitwa Prince Harry!
Bwana madevu.Uyo jamaaa ni nani?
Yaap,Alikuwa deployed Afghanistan.I think ni mjeda au alikuwa mjeda.
Ni kweli,wanajeshi wa Uingereza waliambiwa wamlinde kipind chote akiwa Afghan,Hadi walilalamika kwamba wanashindwa ku concentrate kwenye mapigano kwa ajili ya kumlinda Prince.Ila hawezi kuwekwa front line[emoji23]
Sio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu and fought as other soldiers.Ni kweli,wanajeshi wa Uingereza waliambiwa wamlinde kipind chote akiwa Afghan,Hadi walilalamika kwamba wanashindwa ku concentrate kwenye mapigano kwa ajili ya kumlinda Prince.
Na wangejua angekuwa targetedSio kweli Prince Harry alienda front line akiwa anonymous hakuna mtu aliekuwa anafahamu yuko wapi na yuko kikosi gani ilifanyika kama siri maana ingejulikana ingemuweka hatarini. Hivyo hakuna kikosi kikichokuwa na duty ya kumlinda alienda kama normal soldier tu.
Thus soon baada ya kuwa located na kujulikana alipo jeshi likamtoa Afghanistan na kumrudisha kambini.
Just simple as that! Kuna documentary moja BBC walifanya nae huko huko Afghanistan but katikati ya interview kikalia king'ora jamaa akatoka nduki na kuwaacha BBC akaenda akaingia kwenye jet fighter akasonga mbele.Na wangejua angekuwa targeted