Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yaan kwa uzur huo asitafune rihana, si atakuwa boya.Alikula rihana we?
Kweli kabisa atakuwa boyaaYaan kwa uzur huo asitafune rihana, si atakuwa boya.
Yes mkuu..yupo humu!Meghan anatumia jamii forum ?
Anakijua kiswahili cha ovyo kama chetu ?Yes mkuu..yupo humu!
Sanaaa...mbona alikuwa anakula makande mamzese kipindi fulani π πAnakijua kiswahili cha ovyo kama chetu ?
Anaenda choon?Sanaaa...mbona alikuwa anakula makande mamzese kipindi fulani π π
Na vigimbi vile asiende choooni????Anaenda choon?
witSanaaa...mbona alikuwa anakula makande mamzese kipindi fulani π π
Vgimbi vya high heels bna.Na vigimbi vile asiende choooni????
π π π π π πwit
nkionaga jina lako namkumbuka ex wangu fulani.
Sijui ndio weweπ π π π π π
Nilifikiri unampa zawadi ya kuku.Nimekupa Like kwa madini haya na mengi unayotemaga. sina cha kukupa zaidi ya kuku follow
Ni mimi mkuuMeghan anatumia jamii forum ?
HahahahahahahaNa vigimbi vile asiende choooni????
Sawa amber wa jfNi mimi mkuu
SawaSawa amber wa jf
Yaan kwa uzur huo asitafune rihana, si atakuwa boya.
Utajuaje?Atafuneje? Kwani Rihanna ni mapapai?
JAman nimeangua kichekoAnajishughulisha na issue gani?