Nyie watu nimetokea kuwapenda ghafla tu...yaani nawakubali sana sababu mnanikubali pia. "If you offer love you will ultimately receives love in response" nawapenda sana.
I'm humbled to hear that! Hugs!
Wink wink!
Hili swali Chris Brown ndio anaweza kutupa jibu sahihi zaidi mkuu.Huyo Rihana atakuwa mtamu sana jamani
Feeling jealous for Meghan kapata mwanaume wa shokaaaa jomoniiiHapa akiwa kwenye deployment front line huko Afghanistan anarusha jet fighter ya Apache tayari kwenda kuwamwagia mwaani maadui.
Namkubali sana huyu mshkaji maana ni msela, soldier, mtu wa watu, afu anawapenda waafrika na ana posses three "W" for soldiers...which stand for "women" "War" and "Whisky" he is the man...yule brother wake ni sampuli ya maingereza yale Maconcervative yenye misimamo ya kizamani ya kiingereza kwao waafrika wote ni nyani tu.
View attachment 783137View attachment 783141
Mmiliki wa Uingereza ( UK ), Barbados kwao huyo demu aliye nae hapo pichani na Australia. Pia ni Mla bata fulani hiviii POCHI NENEUyo jamaaa ni nani?