Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake?
Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa Harry tayari ameomba talaka kutoka kwa Meghan.
Harry na Meghan bado hawajathibitisha taarifa hizi lakini media zote kubwa zimedokeza kuwa huenda wawili hao hawako tena pamoja.
Soma pia:
This is a developing story lakini naamini kuna kitu kinaendelea.
Source: Tribune