Prince Harry aripotiwa kumuomba talaka Meghan Markle. Prince Harry atapeleka wapi sura yake?

Prince Harry aripotiwa kumuomba talaka Meghan Markle. Prince Harry atapeleka wapi sura yake?

Mwanaume anaombaje talaka au alikuwa ameolewa?

Btw ni couple isiyopendwa na waingereza wengi hata sijui huyo mwanamke aliwakosea nini waingereza maana hawampendi na wanamuonyesha waziwazi.
 
Wakuu,

Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake?

Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa Harry tayari ameomba talaka kutoka kwa Meghan.

Harry na Meghan bado hawajathibitisha taarifa hizi lakini media zote kubwa zimedokeza kuwa huenda wawili hao hawako tena pamoja.

Soma pia:

This is a developing story lakini naamini kuna kitu kinaendelea.



Source: Tribune
Huko abroad wanamwona Meghan kama mwanamke mweusi [though kimwonekano kama mzungu tu]. Sasa hawa tunaowaite white huku mtaani vigezo vinakua ni nini?
 
Sahihi mkuu.

Meghan ni psycho.

She is a brainwashing machine
Sidhani kama shida ni Meghan; sababu pekee iliosababisha prince Harry kuachana na mambo ya kifalme ni historia yake dogo. Huyu dogo ni mtoto wa Charles kwa mama anaeitwa princess Diana; mama yake aliachana na baba yake ambaye kwasasa ndio King wa UK and Australia, Diana alikuja kuolewa na dogo 1 mtoto wa taicoon wa Kimisri; Jumuia ya UK inaona huyu mama lazima awaishwe mbele za haki, yasemekana tayari alikua ana mimba. Hilo jambo hadi kesho princess Harry linamuuma, limamtesa so asisingiziwe mkewe, historia ina maumivu yake
 
Back
Top Bottom