kupokewa au kutokupokewa sio shida pesa ikiwepo basi mambo yapo!Naam lakini i dont know how Waingereza watampokea tena Harry
Uzushiblank chaques ni tamu atii, japo nilitamani wadumu, iwe na kuishia kuwa tetesi, itakuwa talaka ya 2 kwa meghan.
ukiwa ndani ya palace deal njenje et, ukizoea vya kunyonga ngumu sana kuchinja..
Uzushi .bila storyya Meghan na Gary wazungu hawapati helaNaam lakini i dont know how Waingereza watampokea tena Harry
Hata kama ni kweli, huko ni mambo ya kawaida mno....mbona ilishamtokea kwa wazazi wake......Uzushi
Ewaa habari tunazopenda kusikia.Huu uzi utatembea huu! Huu uzi utaamsha akaunti zilizokuwa dormant huu! Kwa umbea hakuna wa kufanana kusini mwa Jangwa la Sahara.
Once ukisha quit familia ya kifalme , ukisha denounce there is no going backNaam lakini i dont know how Waingereza watampokea tena Harry
Acha akili imuingie kuitelekeza familia na ndugu zako kisa mapenzi.Aiseee...ya kweli haya? Mbona yalianza kusemwa siku nyingi, 40 imefika?