Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house
Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa.
Hata hivyo ameahidi kuwekeza dollar trillion 1 za marekani nchini humo. Hizi pesa atazinyea wapi kama tu tajiri number moja duniani ana dollar B400. Mbona kama utani Sasa
Mwisho kabisa kwa ukubwa upi alonao huyu dogo mpaka watu wakubwa kuliko yeye kama Elon Musk, CEO wa apple, president wa FIFA, RONALDO na wengine kibao wakaenda ikulu kujumuika 😳
Protocol inagoma kabisa. Ngumu kujua ni pesa alotaja ya kuwekeza dollar trillion Moja?? Mara Tatu ya utajiri wa Elon Musk???? Kati Elon ndo tajiri kuliko wote huyu Mohammed bin Salman atazinyea wapi 😏