Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Ana fedha ambayo majuha humuingizia kupitia hija mwanangu. Hujui!Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house
Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa.
Hata hivyo ameahidi kuwekeza dollar trillion 1 za marekani nchini humo. Hizi pesa atazinyea wapi kama tu tajiri number moja duniani ana dollar B400. Mbona kama utani Sasa
Mwisho kabisa kwa ukubwa upi alonao huyu dogo mpaka watu wakubwa kuliko yeye kama Elon Musk, CEO wa apple, president wa FIFA, RONALDO na wengine kibao wakaenda ikulu kujumuika π³
Protocol inagoma kabisa. Ngumu kujua ni pesa alotaja ya kuwekeza dollar trillion Moja?? Mara Tatu ya utajiri wa Elon Musk???? Kati Elon ndo tajiri kuliko wote huyu Mohammed bin Salman atazinyea wapi π
View attachment 3504478View attachment 3504479View attachment 3504481
Usilete maigizo apa. Elon ni tajiriHujui kuwa hela za ELON NI hela za kwenye makaratasi tu Hana hela,
Angalia mauzo yake kwa mwaka, hayazidi bikini 100.
Angalia mauzo ya Aramco kwa mwaka yanazidi bilioni 500, yaani ni sawa na kujumlisha mauzo ya Apple, Amazon, Wallmart, Meta, Google, na Tesla.
Ndo ujue watu Wana hela ya kweli sio, hela za kufikirika za kina Musk
Asee mpwayungu JF person of the year 2022 upo?Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house
Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa.
Hata hivyo ameahidi kuwekeza dollar trillion 1 za marekani nchini humo. Hizi pesa atazinyea wapi kama tu tajiri number moja duniani ana dollar B400. Mbona kama utani Sasa
Mwisho kabisa kwa ukubwa upi alonao huyu dogo mpaka watu wakubwa kuliko yeye kama Elon Musk, CEO wa apple, president wa FIFA, RONALDO na wengine kibao wakaenda ikulu kujumuika π³
Protocol inagoma kabisa. Ngumu kujua ni pesa alotaja ya kuwekeza dollar trillion Moja?? Mara Tatu ya utajiri wa Elon Musk???? Kati Elon ndo tajiri kuliko wote huyu Mohammed bin Salman atazinyea wapi π
View attachment 3504478View attachment 3504479View attachment 3504481
Huyu dogo ni visionary. Kwa muda mchache sana kaibadilisha saudia kiuchumi. Saudia sasa hivi inakuja juu kwenye ufugaji na kilimo. Shirika la ndege la Saudia linakuja juu mwamba alinunua ndege 200 boaeng na airbus kwa mpigo.Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house
Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa.
Hata hivyo ameahidi kuwekeza dollar trillion 1 za marekani nchini humo. Hizi pesa atazinyea wapi kama tu tajiri number moja duniani ana dollar B400. Mbona kama utani Sasa
Mwisho kabisa kwa ukubwa upi alonao huyu dogo mpaka watu wakubwa kuliko yeye kama Elon Musk, CEO wa apple, president wa FIFA, RONALDO na wengine kibao wakaenda ikulu kujumuika π³
Protocol inagoma kabisa. Ngumu kujua ni pesa alotaja ya kuwekeza dollar trillion Moja?? Mara Tatu ya utajiri wa Elon Musk???? Kati Elon ndo tajiri kuliko wote huyu Mohammed bin Salman atazinyea wapi π
View attachment 3504478View attachment 3504479View attachment 3504481
Matajiri wakubwa duniani sio hao wakina Musk unaowaona forbes kama mnavyoaminishwa na media zao CNN,BBC, Reuters and the like!Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house
Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa.
Hata hivyo ameahidi kuwekeza dollar trillion 1 za marekani nchini humo. Hizi pesa atazinyea wapi kama tu tajiri number moja duniani ana dollar B400. Mbona kama utani Sasa
Mwisho kabisa kwa ukubwa upi alonao huyu dogo mpaka watu wakubwa kuliko yeye kama Elon Musk, CEO wa apple, president wa FIFA, RONALDO na wengine kibao wakaenda ikulu kujumuika π³
Protocol inagoma kabisa. Ngumu kujua ni pesa alotaja ya kuwekeza dollar trillion Moja?? Mara Tatu ya utajiri wa Elon Musk???? Kati Elon ndo tajiri kuliko wote huyu Mohammed bin Salman atazinyea wapi π
View attachment 3504478View attachment 3504479View attachment 3504481
haya bwana inaonekana unajua sana kuliko forbes na bloomberg......tatizo wabongo ni kujifanya wajuaji sana...Hujui kuwa hela za ELON NI hela za kwenye makaratasi tu Hana hela,
Angalia mauzo yake kwa mwaka, hayazidi bikini 100.
Angalia mauzo ya Aramco kwa mwaka yanazidi bilioni 500, yaani ni sawa na kujumlisha mauzo ya Apple, Amazon, Wallmart, Meta, Google, na Tesla.
Ndo ujue watu Wana hela ya kweli sio, hela za kufikirika za kina Musk
Sijakataaa kuwa Elon ni tajiri,Usilete maigizo apa. Elon ni tajiri