1. Hyo guys inasimama kumaanisha many individualsHyo guys inasimama kumaanisha many individuals au a group of individuals? Rudi tena nenda kasome lugha wewe, usikariri kila inayoushia na ~s imemaanisha wingi
Endelea kuamini..vp kuhusu mjerumani..bado kawatelekeza hadi wa leo..na wakati nchi yenu ina raslimali karibia kila kona...oooo!!anaogopa
1.kuwa mvivu km nyie
2.hataki kuwa kilaza km nyie..
3.wa tz hawaminiki..mda wowote wakija kunaweza tokea propaganda ya kwamba viungo vya mjerumani dili..kisa ngozi yao na albino hazijaachana mbali...
4.mwisho kabisa...ywahofia maisha yake..kisa atarogwa
Lete data hapa km kuna watu nanyuki hawana ardhiHilo eneo la nanyuki hao waingereza wanalolikalia kimabavu ni thousands of acres of land tena fertile land, they took it to show their dominance in Kenya meanwhile majority of paupers Kenyans around the area are landless and they can't say nothing to Brits about owning their big land.
This is the same way UK [emoji636] managed to own biggest portion of land in Kenya
Hehee!!hta aliyekutoeni kw unyani hawathamini...jiangalieni jamaa...2018 unafurahia colonize!nyie kweli ni manyani!
Hehee!!hta aliyekutoeni kw unyani hawathamini...jiangalieni jamaa...
Kazi kupiga porojo tu hku
Sasa hilo povuSikushangai we kilaza wa kibera,hao waingereza wanakuthaminini kwa lipi?wamekusaidieni vp na hizo fly toiles za hapo kibera?acha ujuha mungiki wake up,its 2018
Upumbavu ulimgharimu pakubwa.nikimuonaga huyo dogo na kaka yake yani lazima nimkumbuke mama yao Diana alafu nabaki kusema tu hii dunia ina watu wabaya sana.
R.I.P Princess Diana of Wales!
AKija alshabaaab mmoja wote hapo wanapoteanaMda wa maankuli... chapati na maharagwe[emoji16] [emoji191] [emoji109] View attachment 883775
Upumbavu ulimgharimu pakubwa.
Alikuwa anachukuliwa na Dod al-fayed, muarabu ambaye wangezaa mtoto automatically angeingia kwenye ufalme wa England.Hii habar ya diana huwa siipati vizur mkuu unaweza kunipa mwangaza kidogo
Alikuwa anachukuliwa na Dod al-fayed, muarabu ambaye wangezaa mtoto automatically angeingia kwenye ufalme wa England.
Inawezekanaje England ikawa na mfalme au malkia mwarabu?
Intelligence ya malkia ikajibu uchozi wa Diana.
Oya vp mkuu, mji wa nanyuki wengi tunapakubali sana.....ntapitia huko checkers na joskaki baada ya siku chache hivi..[emoji123] [emoji123]Napakumbuka sana Nanyuki, makao makuu ya Kenya Airforce, vikosi vya BATUK pia vimepewa sehemu yao ndogo ukipita kidogo pale Nanyuki town, na wanalipia sio vya bure. Huwa wanafanya mazoezi ya pamoja na KDF. 1academ wasalimie washkaji wangu pale Joskaki na Checkers. Nanyuki wanapaita mwisho wa reli ni mji wa raha sio mchezo, alafu mademu wa Nanyuki bana, warembo kweli kweli.
kibera mbona hamjakumbuka kumpeleka akajionee hali nzuri ya kenya.
Bila kusahahau mkapita njia za uchochoroni kuingia bongo na kumwambia mjukuu wa malkia na" huu mlima kirimanjaro ni wa kwetu vipi unauonaje uzuri wake",tena huku guide akitabasamu kwa sura ya kikenya mtu mweusi uso wenye makorongokorongo na meno yenye uchochoro huku kwetu tunaita mwanya.