Prince William atinga kambini!

Prince William atinga kambini!

Hyo guys inasimama kumaanisha many individuals au a group of individuals? Rudi tena nenda kasome lugha wewe, usikariri kila inayoushia na ~s imemaanisha wingi
1. Hyo guys inasimama kumaanisha many individuals

2. usikariri kila inayoushia na ~s imemaanisha wingi

Hata wewe mwenyewe hujielewi
 
Hilo eneo la nanyuki hao waingereza wanalolikalia kimabavu ni thousands of acres of land tena fertile land, they took it to show their dominance in Kenya meanwhile majority of paupers Kenyans around the area are landless and they can't say nothing to Brits about owning their big land.

This is the same way UK 🇬🇧 managed to own biggest portion of land in Kenya
 
2018 unafurahia colonize!nyie kweli ni manyani!
Endelea kuamini..vp kuhusu mjerumani..bado kawatelekeza hadi wa leo..na wakati nchi yenu ina raslimali karibia kila kona...oooo!!anaogopa
1.kuwa mvivu km nyie
2.hataki kuwa kilaza km nyie..
3.wa tz hawaminiki..mda wowote wakija kunaweza tokea propaganda ya kwamba viungo vya mjerumani dili..kisa ngozi yao na albino hazijaachana mbali...
4.mwisho kabisa...ywahofia maisha yake..kisa atarogwa
 
Hilo eneo la nanyuki hao waingereza wanalolikalia kimabavu ni thousands of acres of land tena fertile land, they took it to show their dominance in Kenya meanwhile majority of paupers Kenyans around the area are landless and they can't say nothing to Brits about owning their big land.

This is the same way UK [emoji636] managed to own biggest portion of land in Kenya
Lete data hapa km kuna watu nanyuki hawana ardhi
 
Sikushangai we kilaza wa kibera,hao waingereza wanakuthaminini kwa lipi?wamekusaidieni vp na hizo fly toiles za hapo kibera?acha ujuha mungiki wake up,its 2018
Hehee!!hta aliyekutoeni kw unyani hawathamini...jiangalieni jamaa...
Kazi kupiga porojo tu hku
 
Bt ukumbuke kenya kuna kibera,matahare...northern kenya ni jangwa...tatizo kw idadi ya watu maskini mumetuzidi...sasa hilo nalo mnalifanyia kazi gani...
Tanzania tokeni kwnye usingizi
 
Mm nikp naangalia mpambano wanakuja watz na details za white house na ziara ya mwana mfalme Tanzania.
 
nikimuonaga huyo dogo na kaka yake yani lazima nimkumbuke mama yao Diana alafu nabaki kusema tu hii dunia ina watu wabaya sana.

R.I.P Princess Diana of Wales!
Upumbavu ulimgharimu pakubwa.
 
Hii habar ya diana huwa siipati vizur mkuu unaweza kunipa mwangaza kidogo
Alikuwa anachukuliwa na Dod al-fayed, muarabu ambaye wangezaa mtoto automatically angeingia kwenye ufalme wa England.

Inawezekanaje England ikawa na mfalme au malkia mwarabu?
Intelligence ya malkia ikajibu uchozi wa Diana.
 
Du hapo nimekupata shukran
Alikuwa anachukuliwa na Dod al-fayed, muarabu ambaye wangezaa mtoto automatically angeingia kwenye ufalme wa England.

Inawezekanaje England ikawa na mfalme au malkia mwarabu?
Intelligence ya malkia ikajibu uchozi wa Diana.
 
Napakumbuka sana Nanyuki, makao makuu ya Kenya Airforce, vikosi vya BATUK pia vimepewa sehemu yao ndogo ukipita kidogo pale Nanyuki town, na wanalipia sio vya bure. Huwa wanafanya mazoezi ya pamoja na KDF. 1academ wasalimie washkaji wangu pale Joskaki na Checkers. Nanyuki wanapaita mwisho wa reli ni mji wa raha sio mchezo, alafu mademu wa Nanyuki bana, warembo kweli kweli.
 
Oya vp mkuu, mji wa nanyuki wengi tunapakubali sana.....ntapitia huko checkers na joskaki baada ya siku chache hivi..[emoji123] [emoji123]
 
Back
Top Bottom