pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Usikose kupita pale Sportman Arms Hotel ufaidi na papuchi nyeupeee pepepe.[emoji40] Baridi linalondondoka kutoka kwa theluji Ml. Kenya pale Nanyuki ni kama kule Alaska, huwa inataka kupangiwa mikakati ya kweli. [emoji1]Oya vp mkuu, mji wa nanyuki wengi tunapakubali sana.....ntapitia huko checkers na joskaki baada ya siku chache hivi..[emoji123] [emoji123]
Huna akili wewe nilishakuambia....!!Tanzania ni nchi huru,serikali ya Tanzania inaweza kumkataa au kumkubali mtu yeyote yuleEndelea kuamini..vp kuhusu mjerumani..bado kawatelekeza hadi wa leo..na wakati nchi yenu ina raslimali karibia kila kona...oooo!!anaogopa
1.kuwa mvivu km nyie
2.hataki kuwa kilaza km nyie..
3.wa tz hawaminiki..mda wowote wakija kunaweza tokea propaganda ya kwamba viungo vya mjerumani dili..kisa ngozi yao na albino hazijaachana mbali...
4.mwisho kabisa...ywahofia maisha yake..kisa atarogwa
Lengo la hawa wanajeshi wa UK hapo Kenya ni nini haswa.
Could it be the most expensive papuchi juu pale kila kitu bei ya Tokyo.Usikose kupita pale Sportman Arms Hotel ufaidi na papuchi nyeupeee pepepe.[emoji40] Baridi linalondondoka kutoka kwa theluji Ml. Kenya pale Nanyuki ni kama kule Alaska, huwa inataka kupangiwa mikakati ya kweli. [emoji1]
Training under harsh desert like conditions.Lengo la hawa wanajeshi wa UK hapo Kenya ni nini haswa.
Serikali ya Tanzania haiwezi kuruhusu mjinga mjinga aingie jeshini,jeshi ni kitu chingine huku tz,sio kama jeshi lenu hilo la ki-monkey monkey..Haha wivu juu he didnt do that in tz....do you know miliki
Kwn tandale alipitia hko bongokibera mbona hamjakumbuka kumpeleka akajionee hali nzuri ya kenya.
Sio jangwa tu pekee yake jombaa, BATUK wanalipa hela nyingi sana kufanyia mazoezi yao pale Nanyuki kwasababu wanasema mandhari ya sehemu hizo ndio 'perfect' ya kujitayarisha kwa vita sehemu yeyote ile duniani. Ikweta inapita katikati mwa jiji, upande mmoja ukielekea Timau kuna misitu na milima na baridi la ajabu, upande wa pili ukielekea Doldol kuna jangwa na joto na ukielekea Archers Post kuna savannah moja kubwa sana. Nanyuki ndio makao ya Kenya airforce na KDF pia inafaidi sana kwa mazoezi na drills wanazofanya kwa pamoja na BATUK.Training under harsh desert like conditions.
Heheee!!kwhvo asiende jeshini na wakati jeshi la uingereza lipo kenya lafanya joint training na kdf..na wakati yeye pia ana cheo flani katika hilo jeshi...kwa taarifa yako..kaja kuangalia vijana wake wanaendeleaje na mazoeziHuna akili wewe nilishakuambia....!!Tanzania ni nchi huru,serikali ya Tanzania inaweza kumkataa au kumkubali mtu yeyote yule
Mjinga mjinga ka huyo hawezi kuingia jeshini aiseee
Mbna basi wakafyeka km kuku kule congo...je inglkuwa alshabab..si wangechakaza kambi nzimaSerikali ya Tanzania haiwezi kuruhusu mjinga mjinga aingie jeshini,jeshi ni kitu chingine huku tz,sio kama jeshi lenu hilo la ki-monkey monkey..
'Princess William' kama mlivomuita akiwa Bongo ni mwanajeshi kamili bana, acha kulialia nyie fanyeni mazoezi yenu ya kijeshi na warundi, kwa raha zenu.Serikali ya Tanzania haiwezi kuruhusu mjinga mjinga aingie jeshini,jeshi ni kitu chingine huku tz,sio kama jeshi lenu hilo la ki-monkey monkey..
Hahaa! [emoji1] Unapafahamu eeh? Pale noti huwa zinazama fasta sana ila sio hasara kubwa bana, muhimu sana kubadilisha menu ya kawaida ya papuchi nyeusi nyeusi. Au kama huna ufisi unakula tu kwa macho ukijivinjari, hao mademu wa kizungu huwa wapo zaidi ya nusu uchi alafu giza likiingia huwa wanapoteza network. [emoji38]Could it be the most expensive papuchi juu pale kila kitu bei ya Tokyo.
Pale nilienda sana nikiwa chuo kikuu kujivinjari na marafiki pia umetaja Archers post na Isiolo mahali safi sana kujivinjari bila kelele za mjini. Naona wewe ni mmoja wa team mafisi wa kula kwa macho hadi macho ingare.Hahaa! [emoji1] Unapafahamu eeh? Pale noti huwa zinazama fasta sana ila sio hasara kubwa bana, muhimu sana kubadilisha menu ya kawaida ya papuchi nyeusi nyeusi. Au kama huna ufisi unakula tu kwa macho ukijivinjari, hao mademu wa kizungu huwa wapo zaidi ya nusu uchi alafu giza likiingia huwa wanapoteza network. [emoji38]
Kenya ina wenyewe,wewe hapo ni mali ya mzungu lakini hujitambui!..Heheee!!kwhvo asiende jeshini na wakati jeshi la uingereza lipo kenya lafanya joint training na kdf..na wakati yeye pia ana cheo flani katika hilo jeshi...kwa taarifa yako..kaja kuangalia vijana wake wanaendeleaje na mazoezi
HahahahaKumbe mna royal armed forces wote hapo, mvaa makobazi wa Somalia anatwanga kama wendawazimu
TrueKenya ina wenyewe,wewe hapo ni mali ya mzungu lakini hujitambui!..
Ni tanzania ndo haijatawliwa mpaka sasa si kwa mwendo huu mpk anavaa kombat zenuu!!wkt tz kaja mpaka kajiongelesha kiswahiliKambini sasa kule nanyuki, Yeye ndio colonel ndani ya kitengo cha Irish guards, royal armed forces!View attachment 883731View attachment 883734