Prince William atinga kambini!

Prince William atinga kambini!

Oya vp mkuu, mji wa nanyuki wengi tunapakubali sana.....ntapitia huko checkers na joskaki baada ya siku chache hivi..[emoji123] [emoji123]
Usikose kupita pale Sportman Arms Hotel ufaidi na papuchi nyeupeee pepepe.[emoji40] Baridi linalondondoka kutoka kwa theluji Ml. Kenya pale Nanyuki ni kama kule Alaska, huwa inataka kupangiwa mikakati ya kweli. [emoji1]
 
Endelea kuamini..vp kuhusu mjerumani..bado kawatelekeza hadi wa leo..na wakati nchi yenu ina raslimali karibia kila kona...oooo!!anaogopa
1.kuwa mvivu km nyie
2.hataki kuwa kilaza km nyie..
3.wa tz hawaminiki..mda wowote wakija kunaweza tokea propaganda ya kwamba viungo vya mjerumani dili..kisa ngozi yao na albino hazijaachana mbali...
4.mwisho kabisa...ywahofia maisha yake..kisa atarogwa
Huna akili wewe nilishakuambia....!!Tanzania ni nchi huru,serikali ya Tanzania inaweza kumkataa au kumkubali mtu yeyote yule
Mjinga mjinga ka huyo hawezi kuingia jeshini aiseee
 
Saving last for the best kama kawaida. Hata yeye hapendi ze ze ze zeeee laiti tlaki.
 
Usikose kupita pale Sportman Arms Hotel ufaidi na papuchi nyeupeee pepepe.[emoji40] Baridi linalondondoka kutoka kwa theluji Ml. Kenya pale Nanyuki ni kama kule Alaska, huwa inataka kupangiwa mikakati ya kweli. [emoji1]
Could it be the most expensive papuchi juu pale kila kitu bei ya Tokyo.
 
Haha wivu juu he didnt do that in tz....do you know miliki
Serikali ya Tanzania haiwezi kuruhusu mjinga mjinga aingie jeshini,jeshi ni kitu chingine huku tz,sio kama jeshi lenu hilo la ki-monkey monkey..
 
Training under harsh desert like conditions.
Sio jangwa tu pekee yake jombaa, BATUK wanalipa hela nyingi sana kufanyia mazoezi yao pale Nanyuki kwasababu wanasema mandhari ya sehemu hizo ndio 'perfect' ya kujitayarisha kwa vita sehemu yeyote ile duniani. Ikweta inapita katikati mwa jiji, upande mmoja ukielekea Timau kuna misitu na milima na baridi la ajabu, upande wa pili ukielekea Doldol kuna jangwa na joto na ukielekea Archers Post kuna savannah moja kubwa sana. Nanyuki ndio makao ya Kenya airforce na KDF pia inafaidi sana kwa mazoezi na drills wanazofanya kwa pamoja na BATUK.
 
Huna akili wewe nilishakuambia....!!Tanzania ni nchi huru,serikali ya Tanzania inaweza kumkataa au kumkubali mtu yeyote yule
Mjinga mjinga ka huyo hawezi kuingia jeshini aiseee
Heheee!!kwhvo asiende jeshini na wakati jeshi la uingereza lipo kenya lafanya joint training na kdf..na wakati yeye pia ana cheo flani katika hilo jeshi...kwa taarifa yako..kaja kuangalia vijana wake wanaendeleaje na mazoezi
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kuruhusu mjinga mjinga aingie jeshini,jeshi ni kitu chingine huku tz,sio kama jeshi lenu hilo la ki-monkey monkey..
Mbna basi wakafyeka km kuku kule congo...je inglkuwa alshabab..si wangechakaza kambi nzima
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kuruhusu mjinga mjinga aingie jeshini,jeshi ni kitu chingine huku tz,sio kama jeshi lenu hilo la ki-monkey monkey..
'Princess William' kama mlivomuita akiwa Bongo ni mwanajeshi kamili bana, acha kulialia nyie fanyeni mazoezi yenu ya kijeshi na warundi, kwa raha zenu.
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kuruhusu mjinga mjinga aingie jeshini,jeshi ni kitu chingine huku tz,sio kama jeshi lenu hilo la ki-monkey monkey..
Ndio maana wakapewa kichapo cha mbwa na watoto wadogo huko kwa kina mulisaaa waliojiaami kwa mapanga.
 
Could it be the most expensive papuchi juu pale kila kitu bei ya Tokyo.
Hahaa! [emoji1] Unapafahamu eeh? Pale noti huwa zinazama fasta sana ila sio hasara kubwa bana, muhimu sana kubadilisha menu ya kawaida ya papuchi nyeusi nyeusi. Au kama huna ufisi unakula tu kwa macho ukijivinjari, hao mademu wa kizungu huwa wapo zaidi ya nusu uchi alafu giza likiingia huwa wanapoteza network. [emoji38]
 
Pale nilienda sana nikiwa chuo kikuu kujivinjari na marafiki pia umetaja Archers post na Isiolo mahali safi sana kujivinjari bila kelele za mjini. Naona wewe ni mmoja wa team mafisi wa kula kwa macho hadi macho ingare.
 
Back
Top Bottom