Prince William atinga kambini!

Mbna basi wakafyeka km kuku kule congo...je inglkuwa alshabab..si wangechakaza kambi nzima
Nadhani hujui Congo vizuri,kule hawajafa watz tu,majeshi ya umoja wa ulaya wanapajua congo kama death zone...zamani tuliaminishwa kwamba wakenya wana akili sana lakini tangu niingie jf nazidi kugundua kwamba tuliaminishwa uongo,mkenya ni mtu mjinga sana!
 
'Princess William' kama mlivomuita akiwa Bongo ni mwanajeshi kamili bana, acha kulialia nyie fanyeni mazoezi yenu ya kijeshi na warundi, kwa raha zenu.
Hata Kama ni mwanajeshi,ni nwanajeshi wa huko kwao,huku kwetu ni raia wa kawaida na hawezi kukanyaga kambi yoyote ya jeshi,hiyo ni protokali mna jeshi mdebwedo sana si ajabu kutumika Somalia, you can't think by using your own brain,so sad!
 
Kumbe mna royal armed forces wote hapo, mvaa makobazi wa Somalia anatwanga kama wendawazimu
We jamaa. Nimecheka sana hii comment yako. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana wakapewa kichapo cha mbwa na watoto wadogo huko kwa kina mulisaaa waliojiaami kwa mapanga.
Wanajeshi kufa Congo si jambo la ajabu kama we unafuatilia mgogoro wa congo,waasi na majeshi yanayolinda amani huko,umoja wa ulaya ulishatangaza kwamba congo ni "death point"..so,congo wamekufa hadi waingereza hao mnaowasujudu!..otherwise uwe unajadili kishabiki,waasi wa congo hawatumii mapanga kama wakenya weengi mnavojua kutokana na uvivu wa kufuatilia mambo,..
Kitu cha ajabu ambacho hadi leo kimewaacha uchi wanajeshi na mfumo mzima wa ulinzi wa kenya,ni lile tukio la westgate,ilikuwa ni aibu,wanamgambo wa 4 wameingia kenya,wamenunua gari,wamekwenda hadi westgate wakaua watu wasio na hatia,huku usalama wa Kenya wakiwa bado wamelala,majeshi yote ya kenya yakazunguka westigate wakiwa na vifaru na kila aina ya silaha ya moto kwa ajili ya watu wa 4 tu,lakini bado wakashindwa mchana wrote hadi kufika saa 2 usiku wanamgambo wakaswali sala ya jioni mule mule westgate huku CCTV ikiwachukua,wakati huohuo majeshi ya kenya yakiwa yamezingira westgate yote,na bado wanamgambo wakafanikiwa kuondoka bila kuonwa ila kwa CCTV tu,baadae ndo so called comandoes wakawa ndo wanaingia ndani,na wala hawakuwa na nia ya kuwakamata wanamgambo wa al shabaab,bali kuiba mikate na biscuits za wahindi! Wanamgambo wanaingia nchini kwenu wanaua na kuondoka,kisha baada ya wiki 2 wanarudi tena gharisa wanaua wanaondoka,baadae tena wanarudi wanateka basi wanaua wanaondoka..
Halafu unakuja hapa kutuambia kwamba eti kenya kuna jeshi!!!..labda jeshi la wezi wa mikate na mashoga!
 
nikimuonaga huyo dogo na kaka yake yani lazima nimkumbuke mama yao Diana alafu nabaki kusema tu hii dunia ina watu wabaya sana.

R.I.P Princess Diana of Wales!


Yaani wewe ni mimi kabisa na zaidi nakumbuka ile Royal wedding ya juzi walivyokuwa wanaambatana na kaka yake daaah
 
Hahahaa...eti kuiba mikate na biscuits za wahindi
 
Kelele mingi ya nini na mnachapwa na watoto wa chekechea tena waliojiaami mapanga. bure kabisa JWTZ
 
We jamaa. Nimecheka sana hii comment yako. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii mijitu hovyo sana
Pamoja na kuvaa mibuti mirefu kama gongasnake lakini bado mvaa makobazi anawasambazia fire πŸ”₯ ile ngumu
 
Hata Kama ni mwanajeshi,ni nwanajeshi wa huko kwao,huku kwetu ni raia wa kawaida na hawezi kukanyaga kambi yoyote ya jeshi,hiyo ni protokali mna jeshi mdebwedo sana si ajabu kutumika Somalia, you can't think by using your own brain,so sad!
Hahaha! [emoji1] Yaani huoni hivyo vikosi vya BATUK sio vya Kenya, huna macho? Kwahivyo majeshi ya nchi tofauti hayakubaliwi kufanya mazoezi kwa pamoja?
 
Young mind they train with KDF and we get revenue and free weapons from them...nanyuki town has developed because of this guys

You sold your sovereignty because of revenue
. Kweli nyangau akili zipo matakoni
 
Hahaha! [emoji1] Yaani huoni hivyo vikosi vya BATUK sio vya Kenya, huna macho? Kwahivyo majeshi ya nchi tofauti hayakubaliwi kufanya mazoezi kwa pamoja?
Inakuwaje kenya kuwe na majeshi ya uingereza??..ukiona hivyo ujue hiyo ni failed state!
 
Naomb mungu huyu jamaa,aje kuiongoza Britain.si kwa uzalendo huo
 
HahahHahahahahahahaha,sasa huu upuuz wajeshi la watu england kufanya hii nchi ya kenya shamba la nyani la mazoez litaisha lin??
NI UHURU wa bendera πŸ˜€πŸ˜€Alisemaga baba wa Taifa
 
Sisi wenye mashoto tuna Akili nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…