Wanajeshi kufa Congo si jambo la ajabu kama we unafuatilia mgogoro wa congo,waasi na majeshi yanayolinda amani huko,umoja wa ulaya ulishatangaza kwamba congo ni "death point"..so,congo wamekufa hadi waingereza hao mnaowasujudu!..otherwise uwe unajadili kishabiki,waasi wa congo hawatumii mapanga kama wakenya weengi mnavojua kutokana na uvivu wa kufuatilia mambo,..
Kitu cha ajabu ambacho hadi leo kimewaacha uchi wanajeshi na mfumo mzima wa ulinzi wa kenya,ni lile tukio la westgate,ilikuwa ni aibu,wanamgambo wa 4 wameingia kenya,wamenunua gari,wamekwenda hadi westgate wakaua watu wasio na hatia,huku usalama wa Kenya wakiwa bado wamelala,majeshi yote ya kenya yakazunguka westigate wakiwa na vifaru na kila aina ya silaha ya moto kwa ajili ya watu wa 4 tu,lakini bado wakashindwa mchana wrote hadi kufika saa 2 usiku wanamgambo wakaswali sala ya jioni mule mule westgate huku CCTV ikiwachukua,wakati huohuo majeshi ya kenya yakiwa yamezingira westgate yote,na bado wanamgambo wakafanikiwa kuondoka bila kuonwa ila kwa CCTV tu,baadae ndo so called comandoes wakawa ndo wanaingia ndani,na wala hawakuwa na nia ya kuwakamata wanamgambo wa al shabaab,bali kuiba mikate na biscuits za wahindi! Wanamgambo wanaingia nchini kwenu wanaua na kuondoka,kisha baada ya wiki 2 wanarudi tena gharisa wanaua wanaondoka,baadae tena wanarudi wanateka basi wanaua wanaondoka..
Halafu unakuja hapa kutuambia kwamba eti kenya kuna jeshi!!!..labda jeshi la wezi wa mikate na mashoga!