Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
tusipoangalia tutarudi kwenye ule wakati wa kuvaa suruali za viraka makalioniSisi tushaamua kuwa "masikini jeuri" tu.
Ni katika kuimarisha viwanda vya ndani mkuu.tusipoangalia tutarudi kwenye ule wakati wa kuvaa suruali za viraka makalioni
Hahahaaa!. Toka hapo wewe.....tusipoangalia tutarudi kwenye ule wakati wa kuvaa suruali za viraka makalioni
Aiseee !Ni katika kuimarisha viwanda vya ndani mkuu.
Nasikia siku hizi tunaingiza nguo mpaka kutoka Uganda.
Nchi yenye bandari ya bahari Tanzania, inaingiza nguo zinazotoka nje ya Africa, kwa kupitia nchi ambayo haina bandari ya bahari, Uganda.
Mjomba hivi unaelewa maana halisi ya " KULIMIA MENO ? "Hahahaaa!. Toka hapo wewe.....
Kodi ya bandari yetu ni kubwa sana kwa wazawa. Mitumba inapita bandari ya Dar Kama mizigo ya Rwanda na inapelekwa Uganda na sisi tunakwenda kuhemeaNi katika kuimarisha viwanda vya ndani mkuu.
Nasikia siku hizi tunaingiza nguo mpaka kutoka Uganda.
Nchi yenye bandari ya bahari Tanzania, inaingiza nguo zinazotoka nje ya Africa, kwa kupitia nchi ambayo haina bandari ya bahari, Uganda.
Mbavu zanguuu!. Kama fuko hivi ama?.Mjomba hivi unaelewa maana halisi ya " KULIMIA MENO ? "
Ni jambo la aibu sana.Kodi ya bandari yetu ni kubwa sana kwa wazawa. Mitumba inapita bandari ya Dar Kama mizigo ya Rwanda na inapelekwa Uganda na sisi tunakwenda kuhemea
We will be a donner country soon walk with your shoulders high.Ni jambo la aibu sana.
Siyo tu tunavaa mitumba, bali mitumba ya kuzungusha.
Kwa sasa naweza kutaka kuleta gunia la nguo au viatukutoka kwangu watu wasagule hapokwa bimkubwa, halafu nikafikiri natoa zawadi, kumbe nawapa watu mzigowakodi.
Juzi nimempa mtu zawadi,na hela ya kulipiakodizawadi, maana unaweza kuacha zawadi TRA.
Familia yao ina mengi na huko Kenya na haitakuwa mara yake ya kwanza kwenda.
Watu wanatafuta hata sembe, wewe dona lote hilo?We will be a donner country soon walk with your shoulders high.
Yaani kuna watu wanaona sifa "kupendwa" na wazungu, ha ha ha. Sasa mbona huyo jamaa atatembelea Tanzania vile vile.Ahaaa haaa haaa
mueleze huyo, MAANA pengine hajui kuwa kuna kitu kinachoitwa over seas province.
Teh teh teh tihiii
CC: Erythrocyte
Maumivu yenu ya kupigwa tatu mzuka huko majimboni ndio yanafanya mnaropoka vitu vya ajabu hivi?mkuu nchi yetu haijitangazi, tena toka awamu hii imeingia ndio kabisaa tumebaki kua gizani, huyu hawezi kuja kwanza hajui kama kuna nchi inaitwa tanzania!