Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wakati nchi nyingi za EAC zikirudi nyuma kwa kasi ya radi kidiplomasia ,hali ni tofauti kwa nchi ya Kenya , nchi hiyo ambayo ina tofauti kubwa sana kielimu , kiuchumi na kidemokrasia ukilinganisha na nchi zote za ukanda huu inazidi kuchanja mbuga kuimarisha uhusiano na wadau wa maendeleo wa dunia .
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya .
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya .