Atatembelea Tanzania, Kenya & Namibia...Wakati nchi nyingi za EAC zikirudi nyuma kwa kasi ya radi kidiplomasia ,hali ni tofauti kwa nchi ya Kenya , nchi hiyo ambayo ina tofauti kubwa sana kielimu , kiuchumi na kidemokrasia ukilinganisha na nchi zote za ukanda huu inazidi kuchanja mbuga kuimarisha uhusiano na wadau wa maendeleo wa dunia .
View attachment 870449
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya .
Muachage kukurupuka, mnajiaibisha na kupigilia msumari neno nyumbu.Wakati nchi nyingi za EAC zikirudi nyuma kwa kasi ya radi kidiplomasia ,hali ni tofauti kwa nchi ya Kenya , nchi hiyo ambayo ina tofauti kubwa sana kielimu , kiuchumi na kidemokrasia ukilinganisha na nchi zote za ukanda huu inazidi kuchanja mbuga kuimarisha uhusiano na wadau wa maendeleo wa dunia .
View attachment 870449
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya .
Uchumi wa kinyumenyume.Ni katika kuimarisha viwanda vya ndani mkuu.
Nasikia siku hizi tunaingiza nguo mpaka kutoka Uganda.
Nchi yenye bandari ya bahari Tanzania, inaingiza nguo zinazotoka nje ya Africa, kwa kupitia nchi ambayo haina bandari ya bahari, Uganda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duu!!!Maumivu yenu ya kupigwa tatu mzuka huko majimboni ndio yanafanya mnaropoka vitu vya ajabu hivi?
Nani kakuambia haji Tanzania?
Tanzania sisi tunafuatwa hatuna shobo za kipumbavu kama nyinyi kupapatikia wanaume, mtakuja mchumbiwe nawaambia
Unadhani kwanini Kenya inatangaza ziara hii huku nyinyi mkibweteka ?Maumivu yenu ya kupigwa tatu mzuka huko majimboni ndio yanafanya mnaropoka vitu vya ajabu hivi?
Nani kakuambia haji Tanzania?
Tanzania sisi tunafuatwa hatuna shobo za kipumbavu kama nyinyi kupapatikia wanaume, mtakuja mchumbiwe nawaambia
Kwa sababu wakenya ni jadi yao kuwashobokea wazungu, hususan waingereza.Unadhani kwanini Kenya inatangaza ziara hii huku nyinyi mkibweteka ?
Wakati nchi nyingi za EAC zikirudi nyuma kwa kasi ya radi kidiplomasia ,hali ni tofauti kwa nchi ya Kenya , nchi hiyo ambayo ina tofauti kubwa sana kielimu , kiuchumi na kidemokrasia ukilinganisha na nchi zote za ukanda huu inazidi kuchanja mbuga kuimarisha uhusiano na wadau wa maendeleo wa dunia .
View attachment 870449
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya .
Huyo anakuja kukagua miradi ya Bibi yake.Wakati nchi nyingi za EAC zikirudi nyuma kwa kasi ya radi kidiplomasia ,hali ni tofauti kwa nchi ya Kenya , nchi hiyo ambayo ina tofauti kubwa sana kielimu , kiuchumi na kidemokrasia ukilinganisha na nchi zote za ukanda huu inazidi kuchanja mbuga kuimarisha uhusiano na wadau wa maendeleo wa dunia .
View attachment 870449
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya .
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, we wapaona pabaya, wengine tunapaona pazuri na wageni wanakuja kupatembelea.Unadhani kwanini Kenya inatangaza ziara hii huku nyinyi mkibweteka ?
kwani taarifa ya ziara yake imetenganishwa ? yaani kila nchi ina taarifa yake binafsi ya ujio wa mtu huyu ? ukijibu hili utakuwa umenielewa .Wazee wa kukurupuka na kubadilishia gia hewani, nani hawajui nyinyi.
Hukufaham chochote, acha kuzuga hapa. Ulishaconclude. Na umeshaumbuliwa, anakuja Tz kwanza, kuedit thread huwezi, waonekana mchawi tu. Mtapata tabu sana awamu hii.
Nikuelewe wakati ww mwenyewe hujielewi.kwani taarifa ya ziara yake imetenganishwa ? yaani kila nchi ina taarifa yake binafsi ya ujio wa mtu huyu ? ukijibu hili utakuwa umenielewa .