Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Atatembelea Tanzania, Kenya & Namibia...Wakati nchi nyingi za EAC zikirudi nyuma kwa kasi ya radi kidiplomasia ,hali ni tofauti kwa nchi ya Kenya , nchi hiyo ambayo ina tofauti kubwa sana kielimu , kiuchumi na kidemokrasia ukilinganisha na nchi zote za ukanda huu inazidi kuchanja mbuga kuimarisha uhusiano na wadau wa maendeleo wa dunia .
View attachment 870449
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya .