Prince William made to speak Kiswahili at Ikulu

Kwamba mwanamfalme ametengenezwa kuongea kiswahili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kairudia rudia
Huko sio kuteleza ni kutokujua tu
Mbona inatofauti kubwa sana
Ukiwaambia wabongo wajifunze kingereza wanasema ni mental slavery na kuramba mzungu matako. I always ask if speaking a foreign language is slavery what about the gadgets they use? Are they made in Tanzania? Even a lot of attires in Africa are either made in China or west. Only few from Africa. I think they should throw everything that comes from the west if it is slavery. Very poor mindset
 
for sure, kujua lugha nyingi ni faida, mie mwenyewe nahitaji kwenda kwa Ras simba ili niipate ya malkia zaidi.
 
Hapo wakenya wangeona aibu. Hawa nyang'au bado sana kwenye masuala ya kujitambua.
 
Huyo prince william huja Kenya karibu kila baada ya miezi sita, hapo ndo motivation yake ya kujifunza kiswahili hutokea
Wakenya kwa uongo, aje kila miezi sita si mgemtangaza utazani mmeondoa umaskini
 
Jamaa anakaa Tz (Serengeti) wiki moja halafu anapita Kenya siku mbili[emoji3][emoji3]
 
Naona palitaka kutokea mtafaruku wa lugha mpaka Magufuli akaanza kupaniki na kufuka joto.

Habari gani... eeeh za asubuhi... you have the dictionary (huku pumzi zinakata kwa mbali)

Ukizingatia na jamaa nalo lirefu kwi kwi kwi kwi.
[emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha hizo
 
[emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha hizo
Angalia uso wake unaonesha alianza kupaniki...

Naamini kama Prince William angeendelea kuongea, basi Magufuli angezimia kwa hofu ya ngeli.

Ndio maana Mjukuu wa Malkia alipoanza kutema yai tu, Magufuli akadakia na kumkatiza kwa kusema "Habari za asubuhi".

Sidhani kama Prince William aliongea neno linalohitaji jibu la "Habari za asubuhi".

Unafanya mchezo na ung'eng'e wewe?
 
Bora hivyo alivoongea kiswahili bana, kama angechapia ung'eng'e Jiwe angebaki tu na zile zake za kawa, yezzi, yezzi, ofkozii in ze laiti trakii zey wili ridi ze namba vere machi. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora hivyo alivoongea kiswahili bana, kama angechapia ung'eng'e Jiwe angebaki tu na zile zake za kawa, yezzi, yezzi, ofkozii in ze laiti trakii zey wili ridi ze namba vere machi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pumbavu wewe Mkenya, acha kumtukana rais wetu wa Tanzania. Kama hatumpendi ni sisi huku wewe hayakuhusu. Hangaika na Uhuru wenu. mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…