pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Yezzi ofkozii, laiti traken't we? [emoji1] Hahaa ni utani tu bana. Sina ubaya.Nyang'au bado sana kujitambua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yezzi ofkozii, laiti traken't we? [emoji1] Hahaa ni utani tu bana. Sina ubaya.Nyang'au bado sana kujitambua.
Indeed walahiViva my president
Nyang'au bado sana kujitambua.
Sasa mbona unatumia Kiswahili?Bora ya huyu kuliko jiwe/Kichaa
Pengine aliteleza ulimi. Hakumwita kimakusudi.Mtangazaji mwingine kamuita Princess
Aibu gani hii jamani
Kairudia rudiaPengine aliteleza ulimi. Hakumwita kimakusudi.
Labda alimaanisha prince yes
Ukiwaambia wabongo wajifunze kingereza wanasema ni mental slavery na kuramba mzungu matako. I always ask if speaking a foreign language is slavery what about the gadgets they use? Are they made in Tanzania? Even a lot of attires in Africa are either made in China or west. Only few from Africa. I think they should throw everything that comes from the west if it is slavery. Very poor mindsetKairudia rudia
Huko sio kuteleza ni kutokujua tu
Mbona inatofauti kubwa sana
for sure, kujua lugha nyingi ni faida, mie mwenyewe nahitaji kwenda kwa Ras simba ili niipate ya malkia zaidi.Ukiwaambia wabongo wajifunze kingereza wanasema ni mental slavery na kuramba mzungu matako. I always ask if speaking a foreign language is slavery what about the gadgets they use? Are they made in Tanzania? Even a lot of attires in Africa are either made in China or west. Only few from Africa. I think they should throw everything that comes from the west if it is slavery. Very poor mindset
Hahaha! [emoji38][emoji38][emoji38] Princess William.Mtangazaji mwingine kamuita Princess
Aibu gani hii jamani
Usicheke sio mazuriHahaha! [emoji38][emoji38][emoji38] Princess William.
Wakenya kwa uongo, aje kila miezi sita si mgemtangaza utazani mmeondoa umaskiniHuyo prince william huja Kenya karibu kila baada ya miezi sita, hapo ndo motivation yake ya kujifunza kiswahili hutokea
[emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha hizoNaona palitaka kutokea mtafaruku wa lugha mpaka Magufuli akaanza kupaniki na kufuka joto.
Habari gani... eeeh za asubuhi... you have the dictionary (huku pumzi zinakata kwa mbali)
Ukizingatia na jamaa nalo lirefu kwi kwi kwi kwi.
Angalia uso wake unaonesha alianza kupaniki...[emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha hizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora hivyo alivoongea kiswahili bana, kama angechapia ung'eng'e Jiwe angebaki tu na zile zake za kawa, yezzi, yezzi, ofkozii in ze laiti trakii zey wili ridi ze namba vere machi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pumbavu wewe Mkenya, acha kumtukana rais wetu wa Tanzania. Kama hatumpendi ni sisi huku wewe hayakuhusu. Hangaika na Uhuru wenu. mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuBora hivyo alivoongea kiswahili bana, kama angechapia ung'eng'e Jiwe angebaki tu na zile zake za kawa, yezzi, yezzi, ofkozii in ze laiti trakii zey wili ridi ze namba vere machi. [emoji23][emoji23][emoji23]