Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili asili yake Tanzania Prince William anajua.Safi sana
Na ameahidi wakikutana tena ataongea vizuri zaidi.Kiswahili asili yake Tanzania Prince William anajua.
Safi sana
Huku Kisiju ni asubuhiWewe nae hulali???
Huku Kisiju ni asubuhi
Aah mmenizidi nguvu bwana na mmbunge wa Serengeti mmemchukua. Usiharibu uzi wa watuAsubuhi!!! Au ndo taim zao huko za kuwanga mida hii[emoji3]
Viva my president
Jamaa ni mrefu lakini pia ninilii ni mfupi.jamaa ni mrefu au nanii ndio mfupi?
FYI mwalimu wake Mbongo!Huyo prince william huja Kenya karibu kila baada ya miezi sita, hapo ndo motivation yake ya kujifunza kiswahili hutokea
IS THAT NEWS??..MTALAMBA WAZUNGU HADI LINI
Nyang'au bado sana kujitambua.Bora hivyo alivoongea kiswahili bana, kama angechapia ung'eng'e Jiwe angebaki tu na zile zake za kawa, yezzi, yezzi, ofkozii in ze laiti trakii zey wili ridi ze namba vere machi. [emoji23][emoji23][emoji23]