Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Hiiii hiiih hiih,Mzee Baba unalala na kula kwa mvaa kikuku?
Kwa kweli. Hii ni zaidi ya ushabiki. Kuna malipo si bure.Mzee Baba unalala na kula kwa mvaa kikuku?
Umefunga kazi baba harudi tena
Usiseme Dunia nzima ilhali insta unafollowers 40,labda E.AView attachment 907403
Koba utete nawe!!Hiiii hiiih hiih,
"isanga lina vywasi"
Wewe umefuata nini huku celebrities forum?Hivi wabongo tutaacha lini umbea lakin?
🙄🙄🙄😵😵 Unaua nzi kwa bastolaUsiseme Dunia nzima ilhali insta unafollowers 40,labda E.AView attachment 907403
Akirudi unitag mkuuUsiseme Dunia nzima ilhali insta unafollowers 40,labda E.AView attachment 907403
Hv mkuu una mke!!!ama umeolewa??...Wewe umefuata nini huku celebrities forum?
Wanaowa follow wanawafollow wazazi wala sio watotoLatipha Nasibu a.k.a Princess Tiffa kwa sasa anakimbiza dunia nzima kwa kuwa mtoto mwenye followers wengi zaidi duniani huku akimbwaga mbali zaidi mpinzani wake Asad Khalidi ambaye ni mtoto wa Dj Khalidi.
Tiffa kwa sasa ana followers milioni mbili huku Asad akiwa na followers milioni moja na laki tisa.
View attachment 907303View attachment 907304
Ila hapa diamond amefanya kitu cha muhimu.
Hapo amemtengenezea msingi kama mbeleni huyo binti anaweza tumia akaunti kibiashara hasa kipindi hiki biashara zikiwa zinafanyika mtandaoni.
By the way ww ni nani yake na diamond?
Wewe jana nilikuripoti kwa moderators wakakuonea huruma......Hance Mtanashati inaonekana umekuwa katika familia yenye wadada watupu!!
Maana una tabia za umbea kuliko hata Dada zako[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Moderators wanakuona mpuuzi tu sema tu hawawezi kukuambia..thread zako za unakurupukaga tuWewe jana nilikuripoti kwa moderators wakakuonea huruma......