Princess Tiffa na Asahd Khalidi mambo yanazidi kuwa mazuri kati yao.

Princess Tiffa na Asahd Khalidi mambo yanazidi kuwa mazuri kati yao.

Fanyeni kazi, mafanikio ya mtu hayapimwi kwa idadi ya followers , mtoa mada mindset yako kama ya mdogo angu aliyeli form four.
 
Halafu mbona tiffah hayupo verified ? Anamshindaje Huyo dogo wa DJ
 
Mbona mwanangu mboneke hamumutaji? Uliza uyole nzima mboneke mtoto wa mwandoloma ni Nani mtaambiwa
 
Hance Mtanashati inaonekana umekuwa katika familia yenye wadada watupu!!
Maana una tabia za umbea kuliko hata Dada zako[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Latipha Nasibu a.k.a Princess Tiffa kwa sasa anakimbiza dunia nzima kwa kuwa mtoto mwenye followers wengi zaidi duniani huku akimbwaga mbali zaidi mpinzani wake Asad Khalidi ambaye ni mtoto wa Dj Khalidi.

Tiffa kwa sasa ana followers milioni mbili huku Asad akiwa na followers milioni moja na laki tisa.

View attachment 907303View attachment 907304
Wanaowa follow wanawafollow wazazi wala sio watoto
 
Uyo jama ni ndugu yake mkubwa Fella .
Ila hapa diamond amefanya kitu cha muhimu.

Hapo amemtengenezea msingi kama mbeleni huyo binti anaweza tumia akaunti kibiashara hasa kipindi hiki biashara zikiwa zinafanyika mtandaoni.

By the way ww ni nani yake na diamond?
 
Hata kifesi kabla hajafukuzwa kazi alikua kutwa nzima anahagaika hapa JF kama wewe
 
Kama ujaelewa basi
the_originaleast-20181023-0002.jpg
 
Back
Top Bottom