principal pass

Mwaka jana E =39-40 so mwaka huu D =39-40 huwatakiwi kuwa na akil nying principal ya mwaka huu ni D na unapata chuo bila ya wcwc
 
kufuatia maelekezo yaliyopo ktk guide book principal pass kwa mwaka huu ni C na D.. baada ya hapo principal pass ni C
 
According to guide book2014/15 Principal ni A-C and D is pass.Pia imesema ili mtu aweze kuomba nafasi za kujiunga na elimu ya juu anatakiwa awe na angalau Pass(D) mbili.
 
michango yenu ni mizuri,asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…