Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama una biashara ndogo, na ukaifanya kwa ukubwa itakulipa.
Kama una biashara ya kuchoma na kuuza mahindi, unatakiwa uongeze ukubwa kwa kuongeza kijiwe kingine na si kukiboresha kile cha mwanzo.
Kama ulikuwa na bucha, hakuna haja ya kuiboresha ile bucha,bali fungua nyingine uendelee kuuza n.k
Kama unauza barafu, ongeza idadi ya kuzalisha barafu na ongeza idadi ya watembezaji
Kama una genge la nyanya, hakuna haja ya kuliboresha hilo genge, bali anzisha genge lingine.
Kama unachoma mishikaki na chipsi, hakuna haja ya kuboresha hilo eneo,bali ongeza kibanda kingine eneo lingine.
Kama una kijiwe cha kushona kiatu, anzisha kijiwe kingine cha kushona kiatu.
NB: Tuko zaidi ya milioni 60, ila wewe pambana na watu 1,000,000 waweze kununua bidhaa yako kwa 1,000/=; utakuwa tayari bilionea.
Principle: Fanya kitu kidogo kwa ukubwa