PRINCIPLES saba za kukusaidia kuokoa muda wako na kupata maokoto haraka online

PRINCIPLES saba za kukusaidia kuokoa muda wako na kupata maokoto haraka online

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
Unapoanza kujitafuta onlone huhitaji ofisi kabisa ili kuwa na biashara online.

Unahitaji vitu vine tu:

👉Laptop
👉Smartphone
👉Internet Connection
👉Skill

So hizi hapa PRINCIPLES saba za kukusaidia kuokoa muda wako na kupata maokoto haraka online.
15 Memes That Nail What It's Like Being Asked 'How Are You_' When You're Chronically Ill.jpg

ukisearch “how to make money online” utakutana na content nyingi sana.

Na ukikosea tu hatua, unaweza ukachanganyikiwa na ukajikuta unakata tamaa.

Mi nilipitia huko

Nilikuwa naangalia wapi kuna hela nikaingia kichwa kichwa

skills sina, niko njaa, mwisho nalia kimya kimya 😅
1. Jifunze Kuuza (Selling is Everything)

Skill kubwa bila uwezo wa kuuza ni kama gari yenye mafuta bila dereva.

Jifunze ku-present value yako.

👉 Jifunze kufunga deal.
👉 Jifunze kuongea lugha ya pesa bila kulazimisha watu wanunue

Show value, watu watalipa.
Has this happened to you_ Look at the vid in my bio - I'll teach you how to nurture prospects ...jpg

2. Kuwa Na Uwepo Mtandaoni (Strong Presence)

Kwa sasa digital, visibility = credibility = cash.

Onekana kwa kutungeneza content, consistent, professional.

Wateja watakukumbuka kwa kuwapostia, kuonekana na kuwapatia value kila siku
3. Ji-Position Kama Mtaalam (Hata kama umeanza leo)

Own that skill — usijifiche.

Bio zako, captions, comment zako — ziwe zinaonesha unachokifanya

👉 Kama unajua kuandika, basi andika kama pro. Kama ni graphics, weka level ya expert.

Jifanye pro siku zote
_Digital Marketing Dominance_ The Faceless Power Behind Social Media_.jpg

4. Practice, Fanya mazoezi sana

Skill bila mazoezi = zero.

Zifanyie kazi kwa hizi njia 3:

Demo Projects – jifanyie kazi zako
Fanya hata kazi ndogo ndogo za freews, na shuhuda

Micro Tasks – fanya hata kazi ndogo ndogo za free
Hii hatua ndo inaleta ujasiri, speed na quality.

New Year 2013_ One-Word Theme of ABUNDANCE.jpg

5. Anza na unachokijua kichwani mwako.

Kama unajua kuandika, kuedit video, kuchora, kutafsiri anza na hicho.

Tafuta mentor, kozi, podicast, youtube jifunze vitu vipya.
Kwanini?

Soko la online linahitaji skills zinazoendana na global trends sio kufata mkumbo.

6. Kufanikiwa online ni akili yako tu, Sio kujua vitu vingi tu

Online siyo kama mtaani unajulikana kwa kitu kimoja tu hapa kuna exposure ya kubwa sana.

Ukitaka kufanikiwa, anza kama hujui kitu. Reset akili yako, kubali kujifunza.

👉Usitumie mazoea au kujiona unajua sana
4 Best Skillshare Classes To Take in 2023.jpg

Kumbuka utapata pesa kwa kuuza product, ujuzi wako, taaluma yako, huduma, uzoefu wako, na muda wako.
 
Back
Top Bottom