Print on demand, screen printers and heat tranfers vendors

Print on demand, screen printers and heat tranfers vendors

Kweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Posts
1,152
Reaction score
304
Wakubwa mimi ni mjasiriamali mdogo nafanya biashara yangu ya kutengeneza tisheti na kuuza mtandaoni, kwa sasa niko nje na nilikuwa na mpangp wa kurudi na kuendesha biashara yangu nyumbani, nimehangaika kutafuta printers wa mifumo hii mitatu direct to garment, screen printer na watengenezaji wa customs made heat transfer iwe Tanzania ama east Africa. Kwa mwenye kuelewa wapi nitapata hizi huduma nitafurahi sana. Natanguliza shukurani.
 
Wakuu bado nahitaji huu msaada. Any Printer in Dar?
 
Mcheki huyu 0713485033 yuko kariakoo mtaa wa kibambawe,ni screen printer
 
hebu nipigie +255 655 844 202, huwa ninashughulika na printing issue lakini mimi sina printers ila huwa baada ya kuandaa kazi (artwork) huwa napeleka kwa printers, ila kila kazi naangalia ni printer gani anafit kulingana na ubora au viwango ninavyotaka.

Asante
Thanks Mkuu nitamcheki.
 
Back
Top Bottom