Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 304
Wakubwa mimi ni mjasiriamali mdogo nafanya biashara yangu ya kutengeneza tisheti na kuuza mtandaoni, kwa sasa niko nje na nilikuwa na mpangp wa kurudi na kuendesha biashara yangu nyumbani, nimehangaika kutafuta printers wa mifumo hii mitatu direct to garment, screen printer na watengenezaji wa customs made heat transfer iwe Tanzania ama east Africa. Kwa mwenye kuelewa wapi nitapata hizi huduma nitafurahi sana. Natanguliza shukurani.