Wakuu bado nahitaji huu msaada. Any Printer in Dar?
Thanks Mkuu nitamcheki.hebu nipigie +255 655 844 202, huwa ninashughulika na printing issue lakini mimi sina printers ila huwa baada ya kuandaa kazi (artwork) huwa napeleka kwa printers, ila kila kazi naangalia ni printer gani anafit kulingana na ubora au viwango ninavyotaka.
Asante