Windson Senior Member Joined Jan 5, 2019 Posts 193 Reaction score 397 Mar 17, 2024 #1 Habarizenu wakuu, kama beginner wa photoshooting naomba ushauri wenu kuhusu printer ambayo naweza kuanzanayo pamoja na bei yake kwa ajili ya kuprint picha, Kama kuna udhaifu wa hiyo printer tuelekezane pia
Habarizenu wakuu, kama beginner wa photoshooting naomba ushauri wenu kuhusu printer ambayo naweza kuanzanayo pamoja na bei yake kwa ajili ya kuprint picha, Kama kuna udhaifu wa hiyo printer tuelekezane pia
expedition JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 935 Reaction score 2,995 Mar 17, 2024 #2 Epson l850. 900,000 mpaka 1,000,000.
Windson Senior Member Joined Jan 5, 2019 Posts 193 Reaction score 397 Mar 18, 2024 Thread starter #3 expedition said: Epson l850. 900,000 mpaka 1,000,000. Click to expand... Ahsante sana mkuu