Printer gani nzuri kwa anayetaka kufungua Photo-shooting studio

Printer gani nzuri kwa anayetaka kufungua Photo-shooting studio

Windson

Senior Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
193
Reaction score
397
Habarizenu wakuu, kama beginner wa photoshooting naomba ushauri wenu kuhusu printer ambayo naweza kuanzanayo pamoja na bei yake kwa ajili ya kuprint picha,
Kama kuna udhaifu wa hiyo printer tuelekezane pia
 
Back
Top Bottom