Printer inauzwa...!

Printer inauzwa...!

utiyansanga

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
213
Reaction score
7
Epson photo printer inauzwa imetumika miezi miwili ....ina print picha ,cd nakutoa kopi.....bei 200,000.00
 
Epson photo printer inauzwa imetumika miezi miwili ....ina print picha ,cd nakutoa kopi.....bei 200,000.00

Picha yake tafadhali naiomba niione, na inatumia wino aina gani? weka pia detail zake zote kama wauza magari wanavyofanya.
 
Back
Top Bottom