mkuu umeingia msikitini na unaomba biblia... hili ni jukwaa la Kimataifa watu wanasoma news tu na sio jukwaa la watoa ushauri... kuwa makini usije kupatwa na virus vya Nigeria....Wadau naomba ideas zenu kuhusu printing ,nilikuwa nafikiria kufungua sehemu ya kuprint tshits,plates,vikombe na mengineyo,je ni machine gani nzuri au ambayo itafaa kwa shughuli hizo?je kwa wenye kufanya hii biashara mnaonaje ni biashara nzuri ?nahitaji maoni yenu wana forum
Wadau naomba ideas zenu kuhusu printing ,nilikuwa nafikiria kufungua sehemu ya kuprint tshits,plates,vikombe na mengineyo,je ni machine gani nzuri au ambayo itafaa kwa shughuli hizo?je kwa wenye kufanya hii biashara mnaonaje ni biashara nzuri ?nahitaji maoni yenu wana forum
wewe hujawahi kukosea?Next time Uandike Business na sio Bussness!