Wadau naomba ideas zenu kuhusu printing ,nilikuwa nafikiria kufungua sehemu ya kuprint tshits,plates,vikombe na mengineyo,je ni machine gani nzuri au ambayo itafaa kwa shughuli hizo?je kwa wenye kufanya hii biashara mnaonaje ni biashara nzuri ?nahitaji maoni yenu wana forum