NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa).
Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv.
Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa wanashutumiwa akiwemo Chama yupo katika orodha ya wachezaji watakaoikabili Namungo FC.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app