NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kishamba ni Mshamba sanaBaada ya kichapo Cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa).
Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv.
Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa wanashutumiwa akiwemo Chama yupo katika orodha ya wachezaji watakaoikabili Namungo Fc.
View attachment 2808771
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aliyeanzisha ni Prisca au popoma wa JF?Baada ya kichapo Cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa).
Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv.
Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa wanashutumiwa akiwemo Chama yupo katika orodha ya wachezaji watakaoikabili Namungo Fc.
View attachment 2808771
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama kawaida ya Yanga walitembeza mlungula kwa Simba. Kama unabisha we bisha tu.Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa).
Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv.
Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa wanashutumiwa akiwemo Chama yupo katika orodha ya wachezaji watakaoikabili Namungo FC.
View attachment 2808771
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hata wanachama wengine wa simba nao walisema mara inonga,chama na ntibazo kiza wamepigwa,lakini wote wamo wanachezaBaada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa).
Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv.
Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa wanashutumiwa akiwemo Chama yupo katika orodha ya wachezaji watakaoikabili Namungo FC.
View attachment 2808771
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
HATARI SANA [emoji16]hata wanachama wengine wa simba nao walisema mara inonga,chama na ntibazo kiza wamepigwa,lakini wote wamo wanacheza
Manara alikua anamtimua kishenziNiliwaambia huyo nyampua ni mmbea sana....
Hana weledi ndo maaan Manara wakati yuko Simba alikua adui yake..ni li topolo damu damu
Kwani nyinyi hamna mlungulaKama kawaida ya Yanga walitembeza mlungula kwa Simba. Kama unabisha we bisha tu.
Hawana akili haoKwa Yanga hii ya sasa, ni mwehu ndo anaweza kuamini eti Simba walikula rushwa.