By Mwandishi Bora
Member
- Jul 27, 2024
- 26
- 12
Wajumbe wa kamati ya fedha na uongozi na menejimenti ya manispaa ya moshi ikiongozwa na mkurugenzi wa manispaa Bi. Mwajuma Nasombe Leo wametembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ilani ya CCM kwa USIMAMIZI na UTEKELEZAJI wa mbunge wa Moshi mjini Mh.Priscus TARIMO @Priscus Tarimo B ..
Miradi hiyo ni :-
1. Mabweni shule ya sekondari mawenzi
2. Ujenzi soko la mbuyuni
3. Ujenzi wa Nyumba za walimu shule sekondari Lucy Lameck
4. Ujenzi shule ya msingi mzalendo
5. Ujenzi Shule mpya ya sekondari iliyopo kata ya kaloleni
Haya yote ni uwakilishi Bora na utayari wa kutumika MBUNGE wetu kwa kubeba KERO na MAHITAJI mbalimbali ya Moshi mjini ya kimaendeleo.
Mbunge amekuwa mtu sahihi kuipigania moshi kwa kuzidi kuyaleta maendeleo Moshi ikiwa ni Moja ya kazi za mbunge kuomba fedha mbalimbali za maendeleo serikali kuu.
Tuna shukuru Mama Samia Rais wetu kwa kuwa msikivu na mwenye upendo na Jimbo la moshi kwa kuridhia maombi mbalimbali ya mbunge ya fedha za maendeleo...
Kazi hizi za mbunge wetu ni elelezo tosha Kwamba CCM imeahidi na imetekeleza kivitendo maendeleo endelevu yenye kuonekana kila kukicha.
Mbunge amekuwa kiongozi imara asiyelala kwa KUSEMEA Moshi katika SEKTA MBALIMBALI kimaendeleo endelevu.
Mbunge wetu hajakaa kimya ndio maana tuna shuhudia miradi tele ya kimaendeleo Moshi Manispaa yakirindima kwa fujo.
Asante PRISCUS TARIMO kwa kazi unazofanya kwenye Jimbo letu juhudi zako zimekuwa na tija kubwa katika maendeleo ya Moshi mjini.
MAMA SAMIA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA TULIA KWENYE KITI CHAKO CHA URAIS MITANO TENA ✅ ✅
PRISCUS TARIMO BINGWAA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA TULIA KWENYE KITI CHAKO CHA UBUNGE MITANO TENA ✅ ✅
By ✍🏾Mwandishi Bora