Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kama huijui mikoa mingine kwanini unatoa hitimishoNtajie mji wenye viraka na mashimo mashimo kama moshi mjini. Siijui mikoa mingi ya Tanzania lakini kati ya ninayoijua "moshi mjini' kuna viraka na mashimo ya kutosha. Ni kitu ambacho nakijua as nimetoka kupeleka watoto shule January hii huko kilimanjaro
Dar tu barabara zinavuraka na lami zimechoka, nenda arusha hali ni sawa, morogoro ndo kabisa mpaka mjini kati kuna sehemu kuna barabara za vumbi bado
Tanzania ni nchi maskini tusijifariji kwamba mji uko hivi au ule uko vile
Hakuna mipango miji, squatter zipo kila kona
Unahaki ya kuichukia Moshi ila miji yote ya Tanzania ni ya hovyo