Prison Break vs Breaking Bad

Kwenye HOMELAND wengi walisikitika na wengine kuacha kabisa kuangalia baada ya BRYOD kufa kwa kunyongwa. Ndio msisimko wenyewe wa movie, kuwavika watazamaji hisia kuona jambo kama halisi kabisa, kufurahi na kuhuzunika.
[emoji26][emoji26]kama dogo King Jofrey alivyochukua nchi kwenye GOT

au ufala wa Arturo kwenye Money Heist[emoji23][emoji23]
 
Ok sawa sawa nimekupata Mkuu. Inaonekana ina umafia mwingi
 
Prison break haifananishwi

Hiyo ni best for millennium years to come
 
Mbona hamjataja Merlin aisee...pamoja na ile seekers....prison break nilikuwa nikitazama nalala.. besides sipendi series zenye maudhui ya kisasa..huwa naenjoy Sana zile zenye maudhui ya kizaman na kifamle falme...
 
[emoji26][emoji26]kama dogo King Jofrey alivyochukua nchi kwenye GOT

au ufala wa Arturo kwenye Money Heist[emoji23][emoji23]
Nilicheka sana dogo king geofrey alipokata kata kwa panga kitabu alichopewa na uncle wake Tyrion Lannister..yaani mtunzi aliuoneshs ukichaa wa mfalme vizuri sana😀😀
 
Walter Junior:You're being a pussy Dad.

Walter Junior:You're a bitch Mom.

Dogo alizingua kinoma
Kwa Maza alikuwa sahihi, Skyler alikuwa anakera sana.
 
Angalia moja ya kituruki inaitwa "Eskiya Dunyaya Hukumdar Olmaz(EDHO)" yaani "Bandits will never rule the World", utakuja kunishukuru...
Hiyo ndo criminal series kali kwangu kuliko hizo zako amini.
Pia utaongezea na "Sons of Anarchy"
Ina dual language? Nikimaanisha episodes unaweza kupata zenye lugha ya kingereza?
 
Natamani niipate GOT complete niirudie tena.
 
Walter Junior:You're being a pussy Dad.

Walter Junior:You're a bitch Mom.

Dogo alizingua kinoma
Mzee Walter anaingia ndani anakuta watu wamejaa wanamsubiri yeye

Baada ya kuwaskia wamamletea habari za kumshawish akubali kufanyiwa chemotherapy Kwa ajili ya matibabu yake ya Cancer

Mzee akawa anakaza kuwa ye hataki kufanya chemotherapy...! Ndipo dogo janja Walter Jr akaingilia Kati

Akaanza...! Can you please stop... Stop ...stooop being a Pussy [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Watu wote wakaishia kutazamana hiki nini tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…