Prison Break vs Breaking Bad

Prison Break vs Breaking Bad

Kwenye HOMELAND wengi walisikitika na wengine kuacha kabisa kuangalia baada ya BRYOD kufa kwa kunyongwa. Ndio msisimko wenyewe wa movie, kuwavika watazamaji hisia kuona jambo kama halisi kabisa, kufurahi na kuhuzunika.
[emoji26][emoji26]kama dogo King Jofrey alivyochukua nchi kwenye GOT

au ufala wa Arturo kwenye Money Heist[emoji23][emoji23]
 
Mwalimu wa Sekondari wa somo la Kemia mwenye mtoto wa kiuke mlemavu wa miguu na mke mwenye ujauzito wa bahati mbaya (unwanted pregnancy) anagundulika kuwa ana Kansa ya Mapafu na ipo steji ya juu kiasi kwamba haiwezi kutibika, amebakiza miezi 6 tu ya kuishi. Akijicheki ni kuwa hana chochote cha kuiachia familia yake pindi atakapokufa, anawaza kupambana walau apate ada ya wanawe iwasaidie kufika chuo kikuu, sasa kwa muda wa miezi 6 kupata pesa hiyo anaona hakuna njia ya mkato zaidi ya kuuza unga (madawa ya kulevya).

Anakutana na mwanafunzi wake wa zamani ambaye sasa ni muuza madawa na wanakuwa partners, mwalimu akitumia utaalamu wake wa kemia kutengeneza madawa na kijana mwanafunzi akitumia uzoefu wa mtaa kuyauza, na wakati huohuo mwalimu anapambana kujiuguza kansa kwa fedha ya madawa. Mwalimu anakuja kuwa mtengenezaji namba 1 wa madawa gredi kali na anapata hela za kufa mtu, ila sasa biashara inambadilisha tabia anakuwa mkatili na muuaji wa ajabu kabisa kwa ajili ya kulinda biashara na kumlinda partner wake. Angalia uone jinsi maisha yanavyoweza kubadilika, mwalimu muoga wa kemia kuja kuwa Drug Lord anayeogopwa na wauza madawa ya kulevya.
Ok sawa sawa nimekupata Mkuu. Inaonekana ina umafia mwingi
 
Prison break haifananishwi

Hiyo ni best for millennium years to come
 
Mbona hamjataja Merlin aisee...pamoja na ile seekers....prison break nilikuwa nikitazama nalala.. besides sipendi series zenye maudhui ya kisasa..huwa naenjoy Sana zile zenye maudhui ya kizaman na kifamle falme...
 
[emoji26][emoji26]kama dogo King Jofrey alivyochukua nchi kwenye GOT

au ufala wa Arturo kwenye Money Heist[emoji23][emoji23]
Nilicheka sana dogo king geofrey alipokata kata kwa panga kitabu alichopewa na uncle wake Tyrion Lannister..yaani mtunzi aliuoneshs ukichaa wa mfalme vizuri sana😀😀
 
Angalia moja ya kituruki inaitwa "Eskiya Dunyaya Hukumdar Olmaz(EDHO)" yaani "Bandits will never rule the World", utakuja kunishukuru...
Hiyo ndo criminal series kali kwangu kuliko hizo zako amini.
Pia utaongezea na "Sons of Anarchy"
Ina dual language? Nikimaanisha episodes unaweza kupata zenye lugha ya kingereza?
 
Fikra zangu zilikuwa sahihi kujua kuwa hukumaliza. Zinakatisha tamaa ila ukikomaa nazo ukaangalia mpaka mwisho utajikuta ukitamani zisingefika mwisho, yaani ziendelee tu. Mimi GOT nimeangalia mwaka jana 2021, nilikuwa sijawahi kuielewa hata kidogo, niliipata ikiwa complete, nikaicheki na kugundua kuwa nilikosa burudani muda mrefu. Angalia tena uzimalize hizo, hutajutia
Natamani niipate GOT complete niirudie tena.
 
Walter Junior:You're being a pussy Dad.

Walter Junior:You're a bitch Mom.

Dogo alizingua kinoma
Mzee Walter anaingia ndani anakuta watu wamejaa wanamsubiri yeye

Baada ya kuwaskia wamamletea habari za kumshawish akubali kufanyiwa chemotherapy Kwa ajili ya matibabu yake ya Cancer

Mzee akawa anakaza kuwa ye hataki kufanya chemotherapy...! Ndipo dogo janja Walter Jr akaingilia Kati

Akaanza...! Can you please stop... Stop ...stooop being a Pussy [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Watu wote wakaishia kutazamana hiki nini tena
 
Back
Top Bottom