Prison Break vs Breaking Bad

umeielezea vizur
tangu nilipoona hii kitu seriees zingine naona wanapotez muda tu
 
Noma sana mizigo ya kiutu uzima hiyo heavy sana
 
Angalia moja ya kituruki inaitwa "Eskiya Dunyaya Hukumdar Olmaz(EDHO)" yaani "Bandits will never rule the World", utakuja kunishukuru...
Hiyo ndo criminal series kali kwangu kuliko hizo zako amini.
Pia utaongezea na "Sons of Anarchy"
uzi unahusu breaking bad na prison break sasa utaletea mambo mengine hapa
 
Oz iko poa sana....inaonyesha uhalisia wa gereza kabisa
 
Schillinger hakuamini anavyonyewa usoni na Thobias Butcher😀😀.
Haha bitcher alichoka mzee akaona liwo na liwe... sema kuna wababe sana mule yani kila mtu ninmtu wa matukio tu...
 
Ni bonge la series, kali sana. Namuona Adebiss hapo kwa avatar...alikuwa mkatili sana nae
Yeah adebisi namkubali sana mule af kuna muhuni whingine anaitwa omar white sijui ushamfikia
 
Prison break ya kitoto sana. Kama tu ilivyo Lost. Huwezi fananisha na Breaking Bad. Braking bad ni level za The Sopranos.
 
Jamani PB ni nzuri mnoo...aisee wale watu mpk nikawa nawaota...yani wote ni wakali kwenye kila scene zao wamezitendea haki...unaweza irudia na usichoke kama movie ya Sarafina
Ngoja na mm niitafute hyo BB...
 
Prison break ya kitoto sana. Kama tu ilivyo Lost. Huwezi fananisha na Breaking Bad. Braking bad ni level za The Sopranos.
Umenikumbusha na hii kitu LoST duuh nilikua naunguza msosi..I was addicted
 
usijichoshe ngoja nikupe summary apa
Prison break season 1 ndo season kali storyline waliua sana ila kuanzia seadon 2 na kuendelea walizngua
Breaking Bad kuanzia season 1 mpaka season 3 ni mbaya storyline ni ya kawaida ya kitoto sana,kidogo wakaja kujitahidi kwene season 4 na 5 ndo wamejitahidi kidogo,ila yote kwa yote sio nzuri.
NB; Ukitaka series yenye storyline kali icheki power mzigo kuanzia season mpaka mwisho season 5 nahisi ni moto tu
 
Power Yenye Ngono Tu?
 
Ni bora umesema, UNAHISI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…