Prison Break

Prison Break

Hahaha wananiita t bag mpaka leo....mzee wa 'captivity of negativity'
 
Duuh unajaza server tu ..............tunajua actor wa PB.Tunashukuru kwa mchango wako nenda kaangalie series nyingine sasa
 
PB imefanyeje tena? au ndo midadi imekupanda?
 
hii thread tungekuwa tunaweka quote za t bag, scofield na mahone cause walikuwa wanaongea madin ya kutosha.
 
Back
Top Bottom