Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sijawaelewa vizuri hapa, mnampenda mwenye hii picha au mwenye ID?Nani kadanganya? nani? mtaje au onesha quote iliyochakachuliwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawaelewa vizuri hapa, mnampenda mwenye hii picha au mwenye ID?Nani kadanganya? nani? mtaje au onesha quote iliyochakachuliwa!
Hahahaaaaaaaa! embu usimbane sana mwenzio, anatia imani, kila atakacho chagua watu watamrushia mawe, ushabiki umekuwa mkali sanaaaaaaaaa! Hapo anajihami na kukosolewa chice atakayoifanya! SHOW MERCY!!!!!!
game ilikuwa tight mbaya kabisa na warembo wote mmekuwa wapambanaji ....ila kuna wengine humu wamepiga sound za uongo live.
dah! jamani kuna watu ni noma humu.
suprise ciello and lara1 your game zipo poa sana.
prisoner 46664 congratulation man ,hope hizo dinner zitaishia pazuri.
jay jay
Prisoner 46664,
Reading your heart and mind ..,
from body language of kind ..,
I can see where you r biased .. ,
Professionally the girl first named ..,
She took and captured your heart ..,
This is ma honest advice take hear to your dinner...,
Because honestly she is the game winner...,
Sijawaelewa vizuri hapa, mnampenda mwenye hii picha au mwenye ID?
![]()
Enheee warembo...nani kashinda dinner date???
Mtazimia atakaponitaja mie na mpambano sijashiriki....Si unamuona mkimya kimya lakn ndo wana ma suprise hawa ya kufa mtu...kagoma kutaja eti ciri yake, sijui alikua anataka na wewe uwe kwenye mpambano labda wewe angekutaja
solutionPrisoner 46664,
Reading your heart and mind ..,
from body language of kind ..,
I can see where you r biased .. ,
Professionally the girl first named ..,
She took and captured your heart ..,
This is ma honest advice take hear to your dinner...,
Because honestly she is the game winner...,
Hizi game siku hizi nimestaafu nimetulizwa
otherwise mngeisoma no