Prisons wafanye nini kurudishiwa point yao walionyang'anywa na mwamuzi dhidi ya Simba?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi.

Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk taaluma yake?
 
Nashauri Kwa Hasira Prison wazimalizie kwa Yanga!Hii Itampa Heshima kuwa Hajipendelezi,Sisi wana Yanga Tunamsubiri Prison Tumfundishe Adabu yake!
Kwanza Tunaanza na Mbeya city kwanza!
 
Tuliza Jazba. Mwamuzi naye ni binadamu.

Haya Simba 0-0 Prison.
 
Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi.

Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk taaluma yake?
Unasemaaaa?

IMG-20220204-WA0005.jpg
 
Serikali iingilie kati ujambazi wa aina hii. Mwamuzi akamatwe na kuhojiwa ili tujue ukubwa wa tatizo na wahusika wote wa ujambazi huu. Kunyang'anya pointi timu iliyotumia pesa, muda na rasilimali nyingi kujiandaa na mechi sio sawa, hapa hata TFF wajitafakari kama wanatosha.
Nashauri Kwa Hasira Prison wazimalizie kwa Yanga!Hii Itampa Heshima kuwa Hajipendelezi,Sisi wana Yanga Tunamsubiri Prison Tumfundishe Adabu yake!
Kwanza Tunaanza na Mbeya city kwanza!
 
Ni wanautopolo tu na Manara hawakuona kama lile ni tuta sisi wengine tumeona!
 
Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi.

Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk taaluma yake?
Tuanzie hapa kwanza
 
Attachments

  • VID-20220204-WA0092.mp4
    3.3 MB
Sisi Simba jana tumewaibia pointi 1 timu ya Prisons na sisi kujipatia pointi 3, tunefanya ujambazi
 
Back
Top Bottom