Prisons wafanye nini kurudishiwa point yao walionyang'anywa na mwamuzi dhidi ya Simba?

Prisons wafanye nini kurudishiwa point yao walionyang'anywa na mwamuzi dhidi ya Simba?

Iyo Picha Bado Haioneshi Kama Huyo Mchezaji Kashika Apo Maana Mpira Hujafika Kwenye Mkono Wake Bado Na Inawezakn Aliwahi Kuutoa Kabla Ya Kumfikia...Leta Picha Yenye Mguso Wa Moja Kwa Moja Kati Ya Mkono Na Mpira
Heeeeeee!!

Mwangalie mchezaji wa prison anavyouangalia mpira,na baada ya hilo tukio aliurudisha mkono chini haraka sana,ina,maana kuna tukio alilifanya na alitaka kulificha,wewe ungekuwa refa ktk angle kama ya picha hiyo ilivyochukuliwa ungeacha kutoa maamuzi yaliyotolewa?
 
Mpira kama aliugusa si ungebadili muelekeo
 
Ni wanautopolo tu na Manara hawakuona kama lile ni tuta sisi wengine tumeona!
Simba wanajidanganya wenyewe mchana kweupe kuwa Wana timu ya ushindani. Wameshindwa kuifunga timu iliyoko mkiani mwa ligi sembuse Asec Mimosas? Kulikuwa na kichambuzi kimoja uchwara eti kilisema prisons itafungwa na Simba kwakuwa Simba imepata morale ya hali ya juu baada ya kuifunga Dar city magoli 6. Huu ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine.
 
[emoji706][emoji706]
20220131_160036.jpg
 
Heeeeeee!!

Mwangalie mchezaji wa prison anavyouangalia mpira,na baada ya hilo tukio aliurudisha mkono chini haraka sana,ina,maana kuna tukio alilifanya na alitaka kulificha,wewe ungekuwa refa ktk angle kama ya picha hiyo ilivyochukuliwa ungeacha kutoa maamuzi yaliyotolewa?
Acheni kufanya maamuzi kwa kudhania matukio yanayonifaisha Simba na Yanga TU.
 
Acheni kufanya maamuzi kwa kudhania matukio yanayonifaisha Simba na Yanga TU.
Wewe kwa picha hiyo ungefikiri nn,kwa hiyo refa nae alidhania,na still picture je umeionaje?

Anayedhania ni wewe au yeye aliyeamua kwa usahihi?
 
Wewe kwa picha hiyo ungefikiri nn,kwa hiyo refa nae alidhania,na still picture je umeionaje?

Anayedhania ni wewe au yeye aliyeamua kwa usahihi?
Iko picha ya kukwepesha mkono usiguswe na mpira, tuonyeshe picha ya mkono ulivyogusa mpira.
 
At all q
Sisi Simba jana tumewaibia pointi 1 timu ya Prisons na sisi kujipatia pointi 3, tunefanya ujambazi
Msifanye dhihaka, kwa maamuzi haya ya mpira viwanjani TFF inaandaa maafa makubwa sana viwanjani. Timu zina watu wa aina mbalimbali wenye akili, mioyo na taaluma mbalimbali. Iko siku watu wataishiwa na uvumilivu wa aina hii ya waamuzi, bodi ya ligi na TFF.
 
Tumewekeza kwa waamuzi na sio kwa wachezaji wao ndio wenye kutupatia matokeo ili tuweze kushinda taji la ligi kwa mara ya 5 mfululizo!

mwanaspoti_tz~p~CZtK1XEqQZe~1.jpg
 
Back
Top Bottom