Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Iyo Picha Bado Haioneshi Kama Huyo Mchezaji Kashika Apo Maana Mpira Hujafika Kwenye Mkono Wake Bado Na Inawezakn Aliwahi Kuutoa Kabla Ya Kumfikia...Leta Picha Yenye Mguso Wa Moja Kwa Moja Kati Ya Mkono Na Mpira
Heeeeeee!!Iyo Picha Bado Haioneshi Kama Huyo Mchezaji Kashika Apo Maana Mpira Hujafika Kwenye Mkono Wake Bado Na Inawezakn Aliwahi Kuutoa Kabla Ya Kumfikia...Leta Picha Yenye Mguso Wa Moja Kwa Moja Kati Ya Mkono Na Mpira
Wabishane sasa na ushahidi na maelezo ya kocha wa prisonKitu hichoooooo
mbona mpira huu sio wa mduara....upo kama yai hivi
Maelezo ya kocha wao aliyekuwa uwanjani nayo ni ya uduara?mbona mpira huu sio wa mduara....upo kama yai hivi
Mpira kama aliugusa si ungebadili muelekeoHeeeeeee!!
Mwangalie mchezaji wa prison anavyouangalia mpira,na baada ya hilo tukio aliurudisha mkono chini haraka sana,ina,maana kuna tukio alilifanya na alitaka kulificha,wewe ungekuwa refa ktk angle kama ya picha hiyo ilivyochukuliwa ungeacha kutoa maamuzi yaliyotolewa?
Hainaga Ulazima huoMpira kama aliugusa si ungebadili muelekeo
Akili yako imefikia kikomo kufikiriHainaga Ulazima huo
Ameongea vile kwa kuhofia kufungiwa na tifua tifuaMaelezo ya kocha wao aliyekuwa uwanjani nayo ni ya uduara?
Punguza kula Kitimoto kinapunguza uwezo wa kufikiriAkili yako imefikia kikomo kufikiri
Weeeeeeee,we mwenyewe unafikiri ile sio penati?Ameongea vile kwa kuhofia kufungiwa na tifua tifua
Simba wanajidanganya wenyewe mchana kweupe kuwa Wana timu ya ushindani. Wameshindwa kuifunga timu iliyoko mkiani mwa ligi sembuse Asec Mimosas? Kulikuwa na kichambuzi kimoja uchwara eti kilisema prisons itafungwa na Simba kwakuwa Simba imepata morale ya hali ya juu baada ya kuifunga Dar city magoli 6. Huu ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine.Ni wanautopolo tu na Manara hawakuona kama lile ni tuta sisi wengine tumeona!
Acheni kufanya maamuzi kwa kudhania matukio yanayonifaisha Simba na Yanga TU.Heeeeeee!!
Mwangalie mchezaji wa prison anavyouangalia mpira,na baada ya hilo tukio aliurudisha mkono chini haraka sana,ina,maana kuna tukio alilifanya na alitaka kulificha,wewe ungekuwa refa ktk angle kama ya picha hiyo ilivyochukuliwa ungeacha kutoa maamuzi yaliyotolewa?
Wewe kwa picha hiyo ungefikiri nn,kwa hiyo refa nae alidhania,na still picture je umeionaje?Acheni kufanya maamuzi kwa kudhania matukio yanayonifaisha Simba na Yanga TU.
Iko picha ya kukwepesha mkono usiguswe na mpira, tuonyeshe picha ya mkono ulivyogusa mpira.Wewe kwa picha hiyo ungefikiri nn,kwa hiyo refa nae alidhania,na still picture je umeionaje?
Anayedhania ni wewe au yeye aliyeamua kwa usahihi?
Msifanye dhihaka, kwa maamuzi haya ya mpira viwanjani TFF inaandaa maafa makubwa sana viwanjani. Timu zina watu wa aina mbalimbali wenye akili, mioyo na taaluma mbalimbali. Iko siku watu wataishiwa na uvumilivu wa aina hii ya waamuzi, bodi ya ligi na TFF.Sisi Simba jana tumewaibia pointi 1 timu ya Prisons na sisi kujipatia pointi 3, tunefanya ujambazi
Vipi Morrison anaendeleaje hapo Ukoloni?Waende yanga watapewa mwanasheria wao aliyewapambania kwenye kesi ya morrison naamini watashinda